NInauza Modem yangu ya Zantel

GAMBLER

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2009
Posts
303
Reaction score
11
cdma modem ninauza laki moja, ambayo pale zantel wanauza laki na nusu, mwenye interest ani pm
 
zimeshuka bei wanauza 99000 kama 50 unataka ni pm tuonane au sms 0756727175
 
Nauza yakwangu ya Zain kitu kiko faster ina mb400 za kutumia mwezi mzima. @60000/=.
 
Hiyo laki moja inabidi kwanza u survey market. Maan hata huko zain bei karibu na bure. Vipi kwa 15,000
 
Hilo ndilo tatizo la mitandao inayoishia magomeni. Ukitoka nje ya jiji kidogo tu "no signal". kaa nayo tu kwanza karibu watajenga mnara wa wireless karibu na kwenu...tehetehee
 
Hapo Mliman City naona kuna promotion. Wapo vijana wengi wamevaa t-shirt za Zantel wanauza Modem. Nilinunua modem pale zantel hivi karibuni shs. laki moja, pale Mlimani city leo nimekuta wanauza Tshs.elf hamsini.
 
pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…