Nyumba hii ni mojawapo ya nyumba zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) mwaka 1968.
Ni nyumba ya mjengo wa kizamani. Ina nyumba vitano vya kulala na korido katikati. Uani kuna choo 2, bafu, stoo ndogo na jiko. Kwa atakae inunua anaweza kurekebisha mpangilio wa vyumba na kuezeka upya kwa mitindo ya kisasa. Umeme na maji vipo.
Bei ni Tshs. Milioni ishirini. (20,000,000). Kwa mwenye nia ya kununua bei inapungua sana kwani azma yangu ni kuiuza na sio vinginevyo.