robert christopher vihery
New Member
- Nov 21, 2016
- 4
- 2
labda uwauzie Wanyasa kwa bei hiyo.Nauza PlayStation 4 kwa shilingi 1.4 m lkn kuna weza kuongea
Kino sehem gani mkuu, nahitajilabda uwauzie Wanyasa kwa bei hiyo.
nenda kino Ps4 inauzwa laki 7 na unapewa kila kitu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]labda uwauzie Wanyasa kwa bei hiyo.
nenda kino Ps4 inauzwa laki 7 na unapewa kila kitu
Embu sema inakuja na nini labda kama unatoa CD 40 na controller kumiNauza PlayStation 4 kwa shilingi 1.4 m lkn kuna weza kuongea
Achana na kino. Mimi nina ps4 jipya kabisa kwenye box nakuoa kwa 720KKino sehem gani mkuu, nahitaji
Unamuoa? Hebu cheki hapo juu ulivyoandikaAchana na kino. Mimi nina ps4 jipya kabisa kwenye box nakuoa kwa 720K
Might be mis communicationUnamuoa? Hebu cheki hapo juu ulivyoandika
Mzigo upo? Npe spec zakeMight be mis communication
Sold bossMzigo upo? Npe spec zake
Upo mwingine kwa sasaMzigo upo? Npe spec zake
Nipe spec zake na beiUpo mwingine kwa sasa
Ps4 slim 500GB mpya kabisa na kila kitu chakeNipe spec zake na bei
Asante kiongoziMKUU KUNA MTU AMEWEKA TANGAZO ANAHITAJI PS JARIBU KUCHEKI THREADS ZA NYUMA