Swordsman Senior Member Joined Nov 9, 2016 Posts 142 Reaction score 336 Apr 15, 2017 #1 Nauza samsung video camera ikiwa bado mpya ina miezi mitatu tu tokea niinunue, ninashida na pesa so nauza kwa bei nafuu kabsa karibu na bure, ina record HD videos na inapiga picha pia, ni portable device huchoki kuibeba! Bei: Tsh 550,000/=
Nauza samsung video camera ikiwa bado mpya ina miezi mitatu tu tokea niinunue, ninashida na pesa so nauza kwa bei nafuu kabsa karibu na bure, ina record HD videos na inapiga picha pia, ni portable device huchoki kuibeba! Bei: Tsh 550,000/=