Ninauza simu Samsung Galaxy A8

Ninauza simu Samsung Galaxy A8

Baba Ndubwi

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2013
Posts
1,223
Reaction score
1,992
Bei ni 250,000/=
Imetumika.
Ni nzima lakini Kioo cha juu kimepasuka.
Tofauti na kioo haina tatizo zaidi.
Picha:Sijaweza kuambatanisha picha kwa kuwa ninatumia des. comp.
Mnunuzi tuwasiliane kwa namba:- 0679494815
Napatikana Dar es salaam.
 
Note: Kioo chake si chini ya laki 3.

Mnunuzi aliweke hilo kwenye hesabu
 
Back
Top Bottom