Ninauza simu Samsung Galaxy A8

Baba Ndubwi

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2013
Posts
1,223
Reaction score
1,992
Bei ni 250,000/=
Imetumika.
Ni nzima lakini Kioo cha juu kimepasuka.
Tofauti na kioo haina tatizo zaidi.
Picha:Sijaweza kuambatanisha picha kwa kuwa ninatumia des. comp.
Mnunuzi tuwasiliane kwa namba:- 0679494815
Napatikana Dar es salaam.
 
Note: Kioo chake si chini ya laki 3.

Mnunuzi aliweke hilo kwenye hesabu
 
Simu imepasuka kioo bado unauza laki 2.5(?
Punguza bei
 
Kioo k/koo ni sh 150,000/
Ila hicho kioo ni kibaya (SIO AMOLED) plus fundi anaweza kukivunja wakati anakifunga. Imenikuta. Samsung bora upeleke centre yao JM mall wakakuwekee kioo original
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…