Mnyenz
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 2,933
- 8,112
Kumekuwa na mjadala watu wa magari hupenda kuuzungumzia kuhusu iwapo mtu ana hitaji la kununua spare, je ni bora kwenda dukani kununua mpya kwenye box, ama ni bora ukanunua used iliyofunguliwa kwenye gari?
Kwanza kabisa tunatakiwa kujua haya makampuni ya magari hutengeneza vipi magari yao.(mf Toyota)
Toyota wakiunda gari, sio kwamba huwa wanaunda vipuri vyote vinavyotakiwa(mf redio,shockup, taa, matairi)ili gari likamilike kwa matumizi, bali vipuri vingi hutengenezwa na makampuni mengine (third party) so kinachofanyika kwa kampuni ya Toyota ni kuvinunua kwa makubaliano halafu wao ndio wanavifunga kwenye magari yao ili gari likamilike.
Sasa basi ili kampuni kama Toyota isiharibu soko lake, ni lazima wachukue vipuri genuine ku install kwenye magari yao.
Vipuri vipya vya dukani (box)ni vizuri sana ila ubora kwa baadhi imekua ni changamoto kutokana na mchina kutia mkono kwenye masuala ya spare, unaweza kununua taa mpya baada ya miezi 6 inafubaa na kupauka.
Hivyo basi akili kichwani kwa mteja.
Ninauza spare used (vipuri) za magari mbali mbali, hata ukiwa mkoani nakutumia. Ninanunua magari chakavu yaliyopaki na hata kama ni nzima nicheki tufanye biashara.
0712148001. (24 hrs calls & whatsapp)
Kama huna vocha ni beep nitakupigia.