Ninauza Spare used (vipuri) za magari mbali mbali, hata ukiwa mkoani nakutumia

1) 60000.
2) za mbele 60@ complete za nyuma 70@ complete
3) Bell housing zimeisha
 
Ndiyo ni tatizo ila sehemu zilizoingiliwa zaidi na matapeli ni kwenye eletronic goods,simu laptop TVs etc.

Cha kufanya kama una jamaa yako anaeishi mji husika unaotaka kununua hivyo vipuri (hata kwa jamaa hapa) chukua namba ya simu muulize bei zake mkielewana pesa mtumie huyo jamaa yako yeye aende kufata mzigo akutumie ulipo.
 
Hilo halina shida mkuu, ikitokea kukawa na changamoto narudisha hela yako kama ilivyo, niamini mimi mkuu.
Kutuma pesa pasi kuona spare ndugu siwezi,dunia imeharibika sana,mimi unayenitumia naweza kukutumia NIDA na kitambulisho cha ofisi yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…