Nina BLENDER( kubwa ya kutumbukiza), ICE MOLDS za chopstick, Trei la chopstick, FREEZER kubwa la kioo, vanilla, strawberry na material zingine kama hizo.
Nipo DAR
Sent using Jamii Forums mobile app
Aweke na namba za simu na sehemu gani? AnapatikanaUngeweza kufanya kitu kizuri kama ungeweka picha na bei ya kila kimoja.
Ni wazo tu.
Ukipata picha usisite kupost