Ninauza vitabu katika mfumo wa sauti/audio books

Fadhili Paulo

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2011
Posts
3,211
Reaction score
993
Wakuu, Habari za wakati huu.




Ninauza vitabu katika mfumo wa sauti (audio books). Vitabu katika mfumo wa sauti ni vitabu ambavyo unavisoma kwa kusikiliza kitabu kwa sauti katika radio, tv, simu, computer na audio players devices nyingine nyingi. Uzuri wake ni kuwa si lazima uwepo darasani ili upate somo, kwa muda wako unachagua topic na kuisikiliza usipoelewa unai-rewind mpaka utakapoelewa. Kwa hiyo unaweza ukawa umepanda kwenye basi we una earphone zako zinakupa somo. Ni raha siyo?.


Ninavyo vitabu vya masomo yote katika level mbalimbali vya kuanzia kindergaten hadi advanced level vya kujifunza Kiingereza/English, Historia/History, Jiografia/Geography, Hesabu/Maths, Biolojia/Biology, Uchumi/Economics, Uinjinia/Engineering, Uhasibu/accountant, Teknolojia ya habari na mawasiliano/IT, Hadithi mbalimbali/Stories na vingine vingi.


Bei ni kuanzia shs 5000 na kuendelea kutegemea na ukubwa wa kitabu.

Barua pepe: fadhilipaulo@gmail.com


Pia nina dvd za majaribio/experiments katika somo la biolojia/biology na Hisabati/Mathematics.


Haya jamani sasa mnaweza kupumzika kusikiliza muziki ili msikilize masomo.
 
Mkuu, safi sana! lakini hakuna vitabu vya kiswahili? Mimi napenda kujifunza lugha ya kiswahili.Mfano ni kama vile vya sarufi na tungo mbalimbali!
 
Mkuu, nina mkusanyiko wa vitabu vingi vya audio kwa mtu anayezungumza kiingereza na anataka kujifunza kiswahili, ni audio books tofauti tofauti zaidi ya 14. Kwa sasa sina sarufi au tungo za kiswahili moja kwa moja kwa kutumia kiswahili ila kama unaongea kiingereza na unataka kujifunza kiswahili niambie nikuuzie hii collection yenye ukubwa wa GB 1.5


Mkuu, safi sana! lakini hakuna vitabu vya kiswahili? Mimi napenda kujifunza lugha ya kiswahili.Mfano ni kama vile vya sarufi na tungo mbalimbali!
 
Vizur mkuu kwani labd kdog inawez saidia kwa kzaz che2 kuendana na mfumo huo...maana hawasomi ngoja wajaribu na hiyo system
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…