Ninavyoukumbuka Ubunge wa Profesa Mwandosya, Busokelo

Gud sana nimepita huko mwez January nimeenda mpaka kule VETA/Sekondar lufirilyo chin kabisa kwenye mashamba ya Kanisa lutheran karibu na nyumbani kwake na Mwandosya vingi ulivyosema ni sahihi
Umeme, maji, scheme za umwagiliaji, mitandao ya simu, kilimo tena hapa tulishuhudia wamama wapo road wanasubir kampuni kuja kununua parachichi, barabara now inawekwa rami na zile za changalawe zipo poa sana

Watani zangu nilipapenda sana maeneo yenu full kijani tena hasa mito ming sana kwa kweli kule umaskin sidhan kama upo basi kaya chache kwa maana hakuna pori limekaa tu

Pia niliambiwa kuna maziwa karibia 7 likiwemo ziwa Ngozi ambalo wanadai hakuna samaki anaishi humo na kuna landscape ya ajabu panavutia sana

Bado sijasema ya Chunya dhahabu yaonekana ipo nyingi sana nilikuwa nachungulia mashimo 12ft hayafiki na vijana wengi wanapiga kazi nikajisemea tu umri umenitupa we

Then nikala shushu Laxim bar hii ipo Rungwe Mjini but ushauri kwa vijana
"Tanzania ni kubwa tuangalie maeneo mengine fursa zipo"
 
Karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi kufanya kazi naye kama Waziri wangu kwenye Wizara moja na nilipenda uongozi wake na jinsi alivyothamini wasomi kwa kuwasikiliza na kutoa ushauri muafaka.
Alipoacha Uwaziri aliandika barua ya kuwashukuru Watumishi wote wa Wizara mpaka walinzi na wafagizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…