Juzi nilitoa thread ikisema inasema Zahera atatoa visingizio mechi dhidi ya Police baadhi wakatukana ninarudia tena Zahera hana mbinu tena na wakati wake wakuondoka umefika viongozi msipepese macho jamaa atimuliwe mapema kabla hatujafikia kilele cha ligi na kuanza kung'ang'ana kushuka daraja timu haijulikani inatumia mfumo upi wa ku attack