Ninawakumbusha wanayanga wenzangu kuhusu Zahera

Kalolelo

Senior Member
Joined
Oct 17, 2018
Posts
164
Reaction score
244
Juzi nilitoa thread ikisema inasema Zahera atatoa visingizio mechi dhidi ya Police baadhi wakatukana ninarudia tena Zahera hana mbinu tena na wakati wake wakuondoka umefika viongozi msipepese macho jamaa atimuliwe mapema kabla hatujafikia kilele cha ligi na kuanza kung'ang'ana kushuka daraja timu haijulikani inatumia mfumo upi wa ku attack
 
Zahera ni moja ya makocha na viongozi bora Yanga kuweza kuwa nao toka ianzishwe. Ana kipaji cha uongozi mbalimbali ndani ya Yanga. Tumlinde wanayanga. Huyu si kocha wa kumpoteza.
Muda umefika viongozi waanze kumpangia timu mpumbavu huyu! Amwmngangania mlinda goli wa mbao sijui wa nini aisee! Mechata hakuwa na kiwango cha kucheza yanga!
 
Ukimtimua utakuwa na hela ya kumlipa kocha mwingine?
 
mmh huyu kocha kweli nimeanza kuwa na wasi wasi nae, ngoja tuone mechi ijayo itakuwaje
 
Mbona yupo fresh mkuu, mwache aendee kudhihirisha falsafa yake ikiwezekana tumpe msimu huu maana timu nayo bado haina chemistry nzuri
 
zahera angekuwa mwana CCM angependeza mno maana hana aibu
 
Mbona yupo fresh mkuu, mwache aendee kudhihirisha falsafa yake ikiwezekana tumpe msimu huu maana timu nayo bado haina chemistry nzuri
Hivi chemistry ya timu inapatikana vipi? Mana Yanga imecheza mechi 8 za kirafiki na mechi 6 za kimashindano, hapo sijaweka zile mechi mlizocheza na walima matikiti pale morogoro na wale watoto.
Mi bila kuweka ushabiki Yanga bdo inaupungufu wa viungo washambuliaji, angalau kwa Jana nimemuona mapinduzi balama, mwambieni kocha wenu aache kumpanga kama winga ya kulia,
Mwisho naomba mnisaidie hivi Yanga inacheza mfumo gani?
 
Sina wasiwasi na zaera nina wasiwasi na wachezaji.
 
Mikia mnapenda kuweweseka na Zehera. Mmefanya fitna afungiwe. Bado hamjatosheka tu. Kala wake zenu?
 
Your browser is not able to display this video.
 
mmh huyu kocha kweli nimeanza kuwa na wasi wasi nae, ngoja tuone mechi ijayo itakuwaje
Hahaaaah mkuu hata wewe umeanza kuwa na wasiwasi na zahera yule mliyekuwa mnasema ndo kiboko ya simba....mwacheni yule ni kocha mzuri...tumpe muda wakuu
 
Zahera hamna kitu. Timu inacheza bila mbinu. Mechi ya jana Ngassa, balama na juma abdul ndo walionyesha nia ya kufika golini wengine walikuwa wanatimiza wajibu tu wakukaba na kupiga pasi. Timu ipo ipo tu wachezaji wanacheza kama wamekunywa uji wa magimbi, wazito kweli
 
Hakuna muunganiko hapo kwenye hoja yako. Unasema Zahera hamna kitu, lakini sababu yako ni kuwa wachezaji wengine walikuwa wanatimiza wajibu tu. Sasa ambaye hamna kitu ni Koch’s au hao wachezaji unaosema wanatimiza wajibu tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…