Ninawamisi wapwa zangu, niko hoi natibiwa

Uliniuliza hivi
Babu nisamehe nimesoma hadi nukta ya mwisho. Ningejua ningeishia kichwa cha habari tu Babu ili nikupe pole ...... Lakini nilikuwa natafuta Kilichopelekea uumwe!
nami nikakujibu hivi

Niliteleza kwenye ngazi nikafikia kiuno..... Hayo maumivu........Namshukuru physiotherapist wangu!!

Mjukuu ikawaje hata salamu? Loooooooh!:confused2::confused2:

Swali jingine tafadhali?
 
Mkuu pole kwa kuteleza na kuangukia kiuno ila shukuru Mungu kuwa madhara siyo makubwa maana yangekuwa makubwa ingekuwa balaa..... ila nahisi huyo Dr. yupo MOI maana ndio wanoiyo tiba

Kumbe wagonjwa wa Viuno tuko wengi? Hahahahahahaha!:welcome::welcome::welcome:
 
Babu nisamehe nimesoma hadi nukta ya mwisho. Ningejua ningeishia kichwa cha habari tu Babu ili nikupe pole ...... Lakini nilikuwa natafuta Kilichopelekea uumwe!
Hoja hii ina AKILI SANA
ASPIRIN jitokeze utueleze source ya ugonjwa wako wa kiuno.
pia kama unaambukizwa au unaigwa ueleze wazi hapa jukwaani
 
Hommi pole sana bana you will be okay (actually umeshapona)

halafu mambo yetu kama kawaida do ze nidiful...:welcome:
 
Pole sana my dear brother kwa maswahibu yaliyokukuta, ni majaribu tu yataisha.

Mama Matesha if u come across this page naomba ubrowse ukiwa umefunga macho I dont want to loose u my wifi kipenzi.
 


Thats serious buddy! Ninaomba umwambukize mchungaji huo ugonjwa ili naye akapate hiyo huduma kwa mtaalamu huyo. Ila nitamwomba na yeye avue nguo zake ili tiba iende vizuri, Imeandikwa dawa ya moto ni moto.

Mchungaji
 
Thats serious buddy! Ninaomba umwambukize mchungaji huo ugonjwa ili naye akapate hiyo huduma kwa mtaalamu huyo. Ila nitamwomba na yeye avue nguo zake ili tiba iende vizuri, Imeandikwa dawa ya moto ni moto.

Mchungaji
See no evil, Hear no evil, Speak no evil

E-mail: masanilo@jamiiforums.com
kwa sana tu shekhe mchungaji
 
"Mtu azinie na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake." Mithali 6:32
 
Du kweli kabisa, ila ssa hapa nani amezini tena?:confused2:
naambiwa kuwa AMWANGALIAYE MWANAMKE KWA KUMTAMANI AMEKWISHAZINI NAFSINI MWAKE.
kuna pa kutokea hapo?
ah we acha tu
 
Pole Asprin, Mungu atakuponya... (Hivi umesema umeshapona eeh?)

Angalia huyo mtibuji asijetonesha kiuno hicho ndugu yangu...
 
heheheheh ....
hivi hamnaga na wa kiume..???
angekuwa physio wa kiume ndio anakupa huduma,bado ungekuwa na mawazo ya infidelity ??:becky:

anyway pole,get well soon:A S 8::A S 8:
 
Pole sana kaka. Natumaini kwa style hiyo uta pretend hujapona hata kama utapona ili uendelee kupata dozi ya binti.
Get well Soon Asprin!
 
Hebu upone haraka urudi jamvini kwa stori motomoto nakuaminia
 
Pole sana mkuu, nilikuwa natafakari hio tiba nikacheka nikajiuliza kimoyomoyo vipi kama huyo mtoa tiba ni mchumba au geli frendo wa JF premium member? au Robot mnaweza kula bann wote pamoja na kiuno chako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…