Ninawamisi wapwa zangu, niko hoi natibiwa

Uskubali mkuu! Bila kumchungulia huyo kimwana matanshau hakyamungu hautapona, skutanii mkuu, FANYA KWELI UPONE.
 
Asprin, you are one funny JF member! lol
Sawa kamanda.... hujanipa pole lakini... Fanza basi:smile-big:

Hommi pole sana bana you will be okay (actually umeshapona)

halafu mambo yetu kama kawaida do ze nidiful...:welcome:
Hommie umeamua kuulizia ulimi mdomoni? Jasiri haachi asili:welcome:

Mhh pole na hongera mgonjwa:smile-big:
Hongera kwa lipi dada? kutenguka kiuno au?:confused2::confused2:
 
Pole sana my dear brother kwa maswahibu yaliyokukuta, ni majaribu tu yataisha.

Mama Matesha if u come across this page naomba ubrowse ukiwa umefunga macho I dont want to loose u my wifi kipenzi.
Dada Ahsante kwa angalizo. FYI mama matesha anajua nimeteguka enka. so hana tabu na tiba nayopata...:fencing:

i hope hata home yuko hivi, namuonea wivu mama matesha!
Mila inaniruhusu kuoa mke wa pili.... r u available? Hili litategemea ruhusa ya mtibuji wangu...:welcome:

Thats serious buddy! Ninaomba umwambukize mchungaji huo ugonjwa ili naye akapate hiyo huduma kwa mtaalamu huyo. Ila nitamwomba na yeye avue nguo zake ili tiba iende vizuri, Imeandikwa dawa ya moto ni moto.

Mchungaji
Mchungaji kazi yako ni maombi..... I prefer distance praying....:shocked::shocked:
 


Nitajitahidi Sala na Kazi kiongozi!
 

Duh...! Hospitali hiyo iko wapi? Nahisi kama vile hata hali ya hewa ni baridibaridi...! Tafadhali, utueleze hiyo hospitali ilipo, na usije ukamchukua mhudumu huyo....! Wanaohitaji huduma hiyo ni wengi...!
 
“Mtu azinie na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.” Mithali 6:32
Ahsante kwa angalizo mtumishi...... Kwa hiyo mwenye akili ni yule aziniye na mwanaume mwenziye.....siyo??:confused2::confused2:

Hivi ni kwa nini watu wanafurahia maovu? na kuyapamba?
Hivi kutenguka kiuno ni sehemu ya maovu??

Du kweli kabisa, ila ssa hapa nani amezini tena?:confused2:
Am :confused2::confused2: too!!!

naambiwa kuwa AMWANGALIAYE MWANAMKE KWA KUMTAMANI AMEKWISHAZINI NAFSINI MWAKE.
kuna pa kutokea hapo?
ah we acha tu
Kwa hiyo ndio kusema nshazini na mtibuji wangu? OMG!!!!:glasses-nerdy::glasses-nerdy:

Pole Asprin, Mungu atakuponya... (Hivi umesema umeshapona eeh?)

Angalia huyo mtibuji asijetonesha kiuno hicho ndugu yangu...
Mtumishi sihitaji tiba ya kimaombi......... Nahitaji masaji... masaji.... masaji!!!!
 
Uskubali mkuu! Bila kumchungulia huyo kimwana matanshau hakyamungu hautapona, skutanii mkuu, FANYA KWELI UPONE.
Angalizo na ushauri wako UTAZINGATIWA kamanda. Hebu kahakikishe haki niliyokutendea kwenye hii yuziful post
Duh...! Hospitali hiyo iko wapi? Nahisi kama vile hata hali ya hewa ni baridibaridi...! Tafadhali, utueleze hiyo hospitali ilipo, na usije ukamchukua mhudumu huyo....! Wanaohitaji huduma hiyo ni wengi...!
Kamanda una matatizo ya kiuno?:tinfoil3::tinfoil3:
Nitajitahidi Sala na Kazi kiongozi!
Jitahidi kisala zaidi tafadhali:fencing:
 
hahahaha aspirin umefulia.
umezini moyoni na si bure umeshapata gonjwa la kuambukizwa.
just nitumie namba yake ktk PM nimpime kama hana maradhi huyo
 
Omba tender ya kumkanda kanda kiuno
Ahsante kamanda kwa kujali maslahi yangu:welcome:
hahahaha aspirin umefulia.
umezini moyoni na si bure umeshapata gonjwa la kuambukizwa.
just nitumie namba yake ktk PM nimpime kama hana maradhi huyo
Hivi hawa.... marafiki zangu....wapwa zangu.... wenye wake kama mimi. Wooote hawa wanataka kunidanganya, niwape namba ya mtibuji wangu.....wamharibie maisha yake......woooote hawa .....loooh lakini mimi nasemaaa SIDANGANYIIIIIKIIII!!!!:becky::becky::becky:
 
Umeambiwa " mtu akimtazama mwanamke kwa matamanio, basi ameisha zini nae moyoni"! Asprin bro, ni heri uhukumiwe kwa kosa kamili kuliko nusu kosa, we umeisha hukumiwa kuwa umezini nae moyoni, sa si bora ukamilishe tu zini nae maungoni, ili kama ni adhabu ya kuzini iwe kamili!
 
Mimi bana mimi......... Sina cha kukupa ndugu yangu zaidi ya hiki hapa chini



The Following User Says Thank You to Kilembwe For This Useful Post:

Asprin (Today)
 
Uskubali mkuu! Bila kumchungulia huyo kimwana matanshau hakyamungu hautapona, skutanii mkuu, FANYA KWELI UPONE.
Duh! we sindo juzi ulisema unampenda mkeo na kushauri watu wawapende wake zao leo hii unatoa ushauri huu duh! kwa mume wa mtu!?
 
swahiba..

Si unakumbuka nilikuonya kuhusu yule shemeji yako wa kupaka nail polish???

watakutengua kiuno ndugu yangu, chondechonde usipoteze funtional unit kubwa kama hiyo

Ple sana

Karibu sana nyamachoma hapa freedom arusha
 
Kama kweli unampenda mtabibu wako just bofya avatar yangu kisha select PM niipate kabla jua halijakucha ama sivyo ntajua umetudanganya hapa jukwaani lol
 
Hilo angalizo kwa kweli itakuwa ngumu asee....nipe kifungu kingine chenye japo faraja lol!:confused2::confused2:

Wataka vifungu vingine vyenye faraja, yaani vikidhi mahitaji yako, sawa!!!! "Mpende Jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe" na "Ombeni mtapewa, tafuteni mtapata"
 
Duh!!! Pona haraka utoke huko.. Usije pata maradhi mengine.
 
Hii kali ya mwaka,sasa kaka anapogusa hiyo sehemu ya mwanaume usalama unakuwepo kweli?mi naona kama maumivu ndo yanazidi vile!
 
wew mkaka wewe unajishaua tu ungenikuta mimi usingepata hata muda wa kuja humu kueleza hayo usingeweza kuamka hapo chini :A S 8:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…