Duh! we sindo juzi ulisema unampenda mkeo na kushauri watu wawapende wake zao leo hii unatoa ushauri huu duh! kwa mume wa mtu!?
ungemtimbatimba kiuno chake mpaka ashindwe hata kutambaa kabisa?wew mkaka wewe unajishaua tu ungenikuta mimi usingepata hata muda wa kuja humu kueleza hayo usingeweza kuamka hapo chini :A S 8:
wew mkaka wewe unajishaua tu ungenikuta mimi usingepata hata muda wa kuja humu kueleza hayo usingeweza kuamka hapo chini :A S 8:
Wewe Asprin umetenguka kiuno ulikuwa unafanya nini au lumbesa kwa sana???lol Pole mkuu mkono wa mungu wenye baraka
ukaguse kiuno na nguvu za giza zishindwe Aaaameeen!
hiyo kazi siiwezi maana nanihi ziko karibu naweza kumbaka bure!Omba tender ya kumkanda kanda kiuno
Angalizo lilizingatiwa kamanda. Hii ajali haihusiani na hilo kabisa...... Natamani nije, hebu nitumie helikopta basi, manake basi mpaka Ar ntaharibu mazima.:eyebrows::eyebrows::eyebrows:swahiba..
Si unakumbuka nilikuonya kuhusu yule shemeji yako wa kupaka nail polish???
watakutengua kiuno ndugu yangu, chondechonde usipoteze funtional unit kubwa kama hiyo
Ple sana
Karibu sana nyamachoma hapa freedom arusha
SIDANGANYIIIIIKIIIII!!!:sleepy::sleepy::sleepy::sleepy:Kama kweli unampenda mtabibu wako just bofya avatar yangu kisha select PM niipate kabla jua halijakucha ama sivyo ntajua umetudanganya hapa jukwaani lol
Eee Mama Mdogo.........Twakuomba UTUSIKIE!!:violin::violin::violin:Wataka vifungu vingine vyenye faraja, yaani vikidhi mahitaji yako, sawa!!!! "Mpende Jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe" na "Ombeni mtapewa, tafuteni mtapata"
:focus::focus::focus:Duh!!! Pona haraka utoke huko.. Usije pata maradhi mengine.
OMG!! Jeeeez!!!!:lalala::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::kiss::kiss::kiss::help::help::confused2::confused2::confused2::confused2:wew mkaka wewe unajishaua tu ungenikuta mimi usingepata hata muda wa kuja humu kueleza hayo usingeweza kuamka hapo chini :A S 8:
Hapo ndipo hata mi niliposhangaa. Inawezekana ukawa mpango wa Mungu. Halafu akishamaliza kunimasaji huwa namsikia akisema "Jamani wanawake wengine wanafaidi sana huku duniani" Sijui huwa anamaanisha nini?Hao ma-physiotherapist hawana shifti? kila siku yupo zamu? au ni MIPANGO tu?
Pole sana Asprin
Amina mama. Nawe usamehewe dhambi zako zote.......:A S 8::A S 8:Ugua pole!,but tunakuhitaji sana hapa jamvini kwa michango yako.Get well soon!!
Una mashaka na ugonjwa wangu? Ahsante kwa dua zako. Nikipona ntakutafuta......:welcome::welcome:........Kuna watu wana vituko wewe Asprin ni mmojawapo,nimeishia kucheka tu.
Kama ni mgonjwa kweli poleeeeeeeeeee.
Unawezekana ukawa mpango wa Mungu......Nshaugua haraka, niko karibuni kupona. Ntakutafuta:becky::becky::becky:heb tujuze iweje huyo physiotherapist akushughulikie yeye tu kwani hakuna wengine?????au wapo wengi kila mgonjwa na wake????
ugua haraka urudi jamvini!!!!!!
Hapana mama, ni ajali za kawaida tu. :confused2::confused2::confused2:Wewe Asprin umetenguka kiuno ulikuwa unafanya nini au lumbesa kwa sana???lol Pole mkuu mkono wa mungu wenye baraka
ukaguse kiuno na nguvu za giza zishindwe Aaaameeen!
Infidelity is there to stay.....Ombea Mungu kiuno cha biggie kipone haraka:cheer2::cheer2:heeee masaji hadi kwenye baiologia?!! usimsaliti mama Tesha:smile-big:
SiDANGANYIIIIKIIII!!!!!!!!!!!!!!!:fencing::fencing:kiongozi unatisha....................!naomba location mkuu nije kukuletea japo matunda.....................!itakuwa vyema ukinipatia nambari ya huyo muuguzi wetu ili nikifika nisikusumbue kama umelala nampigia mrembo kwanza kumuuliza...........!
Utambaka mgonjwa wa kiuno? Utapata dhambi:welcome::welcome::welcome:hiyo kazi siiwezi maana nanihi ziko karibu naweza kumbaka bure!
Kwa taarifa yako mama matesha yuko katika novena ya kumshukuru Mungu.Kiuno jamani kiuno....
kikitenguka hicho hata ile kazi ya chama huwezi tena
tumuombee mama matesha awe mvumilivu katika kipindi hiki kigumu