Ninawaomba mnijibu haya maswali kuhusu ukimwi

Rule L

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2020
Posts
1,846
Reaction score
2,754
Hope mko poa wakuu.

Nimekua nikijiuliza sana maswali haya na sijapaga majibu sahihi naombeni msaada wenu.

1 je kirusi cha HIV huishi muda gani bila kufa kikiwa nje ya binadam, mfano mtu mwenye HIV akimwaga damu yake chini vitakufa kwa muda gani.

2 kuambukizwa kupitia salon,

3 kuambukizwa kupitia vikombe vya chai maji, vijiko na kadhalika. Mfano migahawani mara nyingine hawaoshi vizuri
vyombo hivyo baada ya mteja kuvitumia

4 kwa kulala kitanda kimoja na mwenye HIV,, sio sex maybe tu ni mdau wako kaja kukusalimia then akae hata wiki hivi.

5 hili ni nyongeza doz za pep zinatolewa bure au,, na ni hospital zenye hadhi gani zinazotoa dawa hizo.

Ahsante.
 
Una elimu na mawazo finjo Sana juu wa ugonjwa huo

Acha nikuache Kama ulivyo
 
tupe mkasa mzima , kipi kimekukuta mkuu , anyway kuambikizwa HIV sio simple hivo, popote palipo na muingiliano wa damu hapo HIV ndio inapita , kwa maswali yako hapo juu nadhani inabidi uangilie hilo
 
Tunataka tupate elimu ya kutosha mapema, tahadhari muhimu kuna mdau wangu anakuja kunisalimia na anatumia doz
 
3,4
Huwezi kuambukizwa ngoma kwa kuchangia vyombo au kulala na mgonjwa wa Hiv
Muhimu jitahidi kutumia vyombo visafi ili kuepuka magonjwa yote.
Barikiwa mkuu[emoji120][emoji120]
 
Tunataka tupate elimu ya kutosha mapema, tahadhari muhimu kuna mdau wangu anakuja kunisalimia na anatumia doz
Unatania? Huu ugonjwa umekuwepo kwa miaka mingi sasa, ina maana hujui kweli haya unayouliza? Kuna maandishi mengi sana kuhusu huu ugnjwa, tumia google.
 
Asant mkuu sutanii ila nina marafiki zangu ma dr. sasa nikiwauliza sipew jibu la kueleweka
 
Hope mko poa wakuu.

Nimekua nikijiuliza sana maswali haya na sijapaga majibu sahihi naombeni msaada wenu.

1 je kirusi cha HIV huishi muda gani bila kufa kikiwa nje ya binadam, mfano mtu mwenye HIV akimwaga damu yake chini vitakufa kwa muda gani.

2 kuambukizwa kupitia salon,

3 kuambukizwa kupitia vikombe vya chai maji, vijiko na kadhalika. Mfano migahawani mara nyingine hawaoshi vizuri
vyombo hivyo baada ya mteja kuvitumia

4 kwa kulala kitanda kimoja na mwenye HIV,, sio sex maybe tu ni mdau wako kaja kukusalimia then akae hata wiki hivi.

5 hili ni nyongeza doz za pep zinatolewa bure au,, na ni hospital zenye hadhi gani zinazotoa dawa hizo.

Ahsante.
Kinaish sekundu kum kikikosa mazingira yake maana maisha yake ni kwenye chembe hai za damu mate hayambukiz wala sahan saloon ni ngumu sababu lazima ifutwe ndan ya sekunde 15 na awe amekukata na kutoa damu sio kukukwangua kuna kiwango cha damu kinachotakiwa il virus viame
 
Back
Top Bottom