David lusinde
Member
- Feb 15, 2013
- 7
- 0
1.mimi ni mjasiliamali. Shughuli zangu ni biashara, hivyo ninampenda sana m2 anaejiamini na kufanya shughuli halali zinazomwingizia kipato ili kuhakikisha mkate wa siku unapatikana. (2) napenda siasa kidogo (3)nachukia uvivu wa aina zote (4) napenda kubadilishana mawazo na watu tofauti. ......... Ninafurahi kujiunga na JF.! Naamini ninakutana na watu makini wenye hekima na mitazamo tofauti ambao kwa pamoja tutalisukuma gurudumu hili la maisha na kuhakikisha linaenda kutokana na kupata au kupeana mitazamo tofauti. Ninawapenda sana, pa1 sana.