Ninaweza kufanya biashara gani Kampala?

Ninaweza kufanya biashara gani Kampala?

Johntest

Member
Joined
May 11, 2016
Posts
32
Reaction score
20
Ninapapenda sana Kampala. Nataman kujua watu wa pale wanahitaji nini kutoka Tanzania ili niifanye biashara hyo. Msaada please!!
 
Biashara nzur ni kuuza ungaa wa sembe na donaa hata ulezi piaa
 
Seriously kaka? Hyo business inalipa kule mkuu?
 
Back
Top Bottom