ninaweza kuoa mwanafunzi wangu? nipeni ushauri

alikuwa mwanafunz, so hayo yameshapta. we chukua mzgo utulie.
 
huyo c mwanafunzi wako ni university mate wako bana. Uticha na udent ulikua paaaast
 
Nafahamu mwl. mmoja alioa mwanafunzi wake mara tu baada ya matokeo ya form 4 kutoka na bint kupata div.4,mwingine mwl.yuko chuo sasa ila anaishi na mwanafunzi wake ambaye amemaliza shule akiwa mjamzito na akapata div.4. Case yenu mbona kipindi cha mwl na mwanafunzi kimepita kitambo? Oa tu.
 

sasa si umeshampiga dudu, we malizia tu, usije ukavunja moyo wa mtu bwana, halafu ukajumuishwa kwenye ile timu ya 'WANAUME WABAYA SANA wakishapata wanachokitaka wanakuacha solemba'
 
Bado tu? mie nilidhani ushapeleka posa ushauri ushapewa wa maana sana fatilia huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…