neno ni upanga
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 494
- 1,656
Habari wakuu, nina swali;
Nimekopa hela CRDB na kufungua biashara yangu, ila kutokana na mahitaji zaidi kuna kifaa natamani kuongeza kwenye biashara yangu, kutokana na uhitaji wake wa haraka.
Je, ninaweza kwenda Bank kuongeza mkopo? Watanipa?