N neno ni upanga JF-Expert Member Joined Jun 28, 2022 Posts 494 Reaction score 1,656 Sep 25, 2023 #1 Habari wakuu, nina swali; Nimekopa hela CRDB na kufungua biashara yangu, ila kutokana na mahitaji zaidi kuna kifaa natamani kuongeza kwenye biashara yangu, kutokana na uhitaji wake wa haraka. Je, ninaweza kwenda Bank kuongeza mkopo? Watanipa?
Habari wakuu, nina swali; Nimekopa hela CRDB na kufungua biashara yangu, ila kutokana na mahitaji zaidi kuna kifaa natamani kuongeza kwenye biashara yangu, kutokana na uhitaji wake wa haraka. Je, ninaweza kwenda Bank kuongeza mkopo? Watanipa?
digba sowey JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 8,926 Reaction score 17,880 Sep 25, 2023 #3 Huo mkopo ni kwa watumishi au ni mkopo binafsi,una muda gani toka uanze kurejesha mkopo wa awali!?