Ninaweza kupata Affidavit ya Mzazi kwa Mwanasheria?

Ninaweza kupata Affidavit ya Mzazi kwa Mwanasheria?

Bisansaba

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
292
Reaction score
109
Habari ndugu Wanasheria,

Nilikuwa najaribu kukusanya viambatanisho vinavyohitajika kwa ajili ya kukamilisha maombi ya hati ya kusafiria, sasa kiambatanisho kimoja (Affidavit ya Mzazi) ambacho ni muhimu bado kinakosekana. Nilikuwa nafikiri naweza kupata huduma hii mahakamani pekee lakini kwenda mahakamani naona napata usumbufu fulani (muda). Sina uhakika kama wanasheria wanatoa huduma hii pia, na kama wanatoa ningefurahi kupata ofisi ya mwanasheria maeneo ya karibu na mimi (Msasani au Kawe) ili nipate huduma hii kwa haraka na leo hii.

Kuna mwanasheria yeyote anaweza kunisaidia kuhusu hili?

Asante!
 
Inatolewa affidavity na mwanasheria mwenye power cha muhimu tafuta office ya karibu upewe...!
 
Advocate yoyote mwenye muhuri...! I mean huyo advocate awe na muhuri wa High court
 
Imenisaidia sana hii! Hata kabla ya kuanzisha uzi mpya! Asante sana JF
 
Back
Top Bottom