Ninaweza kupata jiko la gesi lenye oven na microwave?

Mwiyuzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2011
Posts
853
Reaction score
440
Natumaini mnaendelea vizuri wanajamvi!

Ninaomba kujua iwapo majiko ya gesi ambayo yana microwave na oven yanapatikana.
 
460k to 700k....hapo ni kuchezA na brand tu...lipi linadumu...ila nimeona mengi wanasema wanatoa Turkey,
 
Kariakoo hapo katikati barabara ya uhuru maduka ni mengi ila kuwa muangalifu na bei nafuu kwani mara nyingi yamechakachuliwa na hawakuambii ukweli.ukitaka kununua bidhaa zenye kiwango nenda maduka barabara ya uhuru karibu na mnazi mmoja ama Mnara wa saa wana majiko ya uhakika ila bei zao zipo juu.
 
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom