FLASH HIDER
JF-Expert Member
- Jul 13, 2012
- 397
- 508
Mdogo wangu anategemea kumaliza diploma ya sheria Eckenforde University. Anaweza kupata mkopo akitaka kusoma LLB? Vipi taratibu na sifa za kujiunga chuo cha Mahakama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kamaliza diploma ingia kwenye website ya bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kuna kitu kinaitwa OLAS ni mfumo mpya wa kuomba mikopo kwa njia ya mtandao baada ya kuingia ambao utakuuliza kama unataka kuomba mkopo kama muhitimu wa kidato cha sita au muhitumu wa diploma kisha utaendelea kutoka hapo