Kama kamaliza diploma ingia kwenye website ya bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kuna kitu kinaitwa OLAS ni mfumo mpya wa kuomba mikopo kwa njia ya mtandao baada ya kuingia ambao utakuuliza kama unataka kuomba mkopo kama muhitimu wa kidato cha sita au muhitumu wa diploma kisha utaendelea kutoka hapo