mbinayamaswa
Member
- Feb 26, 2011
- 9
- 0
MOD tunaomba jukwaa la kutafuta wapenzi, wake, waume nk. Naona demand imekuwa kubwa mno.
msomaji wa safu hii , umri wangu umeenda sasa,
ninahitaji mpenzi wa kweli na baadaye awe mke , elimu kidato cha nne hadi chuo
mwenye sifa hii anakaribishwa , ila awe msichana mrefu, asiwe mnene sanaaaaaaaaaa
. Naona demand imekuwa kubwa mno.
unaweza kumpata lakini ungejieleza kidogo.......maana kila mtu ana vigezo vyake.....huwezi jua
Unaweza kupata wawekee japo cv yako basi wenye nia wajitokeze
Kijana, wadada hao wawili tayari wanasubili sifa zako
bora umfundishe kusoma alama za nyakati
msomaji wa safu hii , umri wangu umeenda sasa,
ninahitaji mpenzi wa kweli na baadaye awe mke , elimu kidato cha nne hadi chuo
mwenye sifa hii anakaribishwa , ila awe msichana mrefu, asiwe mnene sanaaaaaaaaaa
mkuu hapa hupati mtu labda wakufanye mme wa pili.yani watakao-reply ni walewale Lizzy & co.
Umri umeenda ulikuwa wapi kipindi chote hiko?
aaah,kipindupindu usimkatishe tamaa,atampata tuu.jf ina ma single wengi,na kila mara watu wanatafuta wachumba humu.mkipata muwe mnatupa matokeo,na sisi mtupe nguvu.sio mtu unatafuta mchumba,mara kimyaaa,hujui kama amefanikiwa au hajafanikiwamkuu hapa hupati mtu labda wakufanye mme wa pili.yani watakao-reply ni walewale Lizzy & co.
Umri umeenda ulikuwa wapi kipindi chote hiko?
aaah,kipindupindu usimkatishe tamaa,atampata tuu.jf ina ma single wengi,na kila mara watu wanatafuta wachumba humu.mkipata muwe mnatupa matokeo,na sisi mtupe nguvu.sio mtu unatafuta mchumba,mara kimyaaa,hujui kama amefanikiwa au hajafanikiwa