Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mkuu huwezi kutafuta ujazo? Tumia vipimo vya vyumba vya nyumba yako, Length x Width x Height (all in metre) unapata cubic metre. Sasa kutokea hapo ndipo utaweza kukisia vizuri! Vinginevyo kama unaweza kupunguza gharama chimbisha kabisa shimo la septic tank hapo utapata kirusi cha kutisha! Unakuwa umeua ndege wawili kwa jiwe moja!Kwa nyumba ya bedrooms tatu na sebule nimejenga msingi wa coz tano nataka kujaza kifusi,je naweza kutumia magari mangapi haya ya kawaida yanayobeba mchanga kupajaza kifusi mpaka level