Kuhusu kusoma sina idea, labda waje wadada. Ila kama huna saloon unaeza kua unaifanya online, japo itakua changamoto, au kama una kwako its fine unaeza kua unafanyia hata hapo.
Swala la kua na faida, inategemeana na wewe umejiandaaje, unaweza kujitofautisha vipi na make artists wengine ili uweze kuvutia wateja. Kwa hio unakua na kazi mbili. Kwanza, kutoa wateja kutoka kwa watu wengine na pili kuwafanya ( kuziteka akili zao) waendelee kuipata huduma hio kwako.
Tengeneza connection na watu mbalimbali wataokua wateja wako na watakaoweza kuleta wateja wengine kwako.