Erick tryphone JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 387 Reaction score 84 Jun 2, 2013 #1 Kwa matokeo haya naweza nikasoma nursing Bilogy D English D Civics D geogrgafy D math F History B Kiswahili D = IV 27
Kwa matokeo haya naweza nikasoma nursing Bilogy D English D Civics D geogrgafy D math F History B Kiswahili D = IV 27
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Jun 2, 2013 #2 Yah!unaweza.
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,767 Reaction score 6,575 Jun 2, 2013 #3 unaweza lakini ungepata c ya biology ndio ingekuwa nzuri zaidi..
Y Yaledi julius Member Joined Apr 11, 2013 Posts 39 Reaction score 6 Jun 2, 2013 #4 Nenda chuo cha ,mifugo, kilimo maana nersing mpaka uwena na chem,phy ndicho wanacho zingatia zaidi
Y Yaledi julius Member Joined Apr 11, 2013 Posts 39 Reaction score 6 Jun 2, 2013 #5 Perry said: Yah!unaweza. Click to expand... unaposema inabidi utoe maelezo mazuri kwakua unajua kuhusu chuo sio kuongea hata hauna uhakika.
Perry said: Yah!unaweza. Click to expand... unaposema inabidi utoe maelezo mazuri kwakua unajua kuhusu chuo sio kuongea hata hauna uhakika.
K kornelio Member Joined May 26, 2013 Posts 61 Reaction score 1 Jun 3, 2013 #6 Yaledi julius said: Nenda chuo cha ,mifugo, kilimo maana nersing mpaka uwena na chem,phy ndicho wanacho zingatia zaidi Click to expand... True mkuu umeongea au hakuona manurse walivyokuwa wanahangaika kurist phy na chem
Yaledi julius said: Nenda chuo cha ,mifugo, kilimo maana nersing mpaka uwena na chem,phy ndicho wanacho zingatia zaidi Click to expand... True mkuu umeongea au hakuona manurse walivyokuwa wanahangaika kurist phy na chem
Erick tryphone JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 387 Reaction score 84 Jun 3, 2013 Thread starter #7 Mbona kuna watu wanasema kwamba ninaweza nikachaguliwa kwasababu nimefaulu biology na english?