Habari zenu wakuu.
Ninaomba na kuhitaji ushauri wenu katika hili.Nina binamu yangu amesoma cheti katika chuo KIKUU CHA KWAZULU NATAL cha Afrika ya Kusini,FACULTY of HUMANITIES,SOCIAL SCIENCE and DEVELOPMENT.kozi inaitwa WORKING WITH CHILDREN,FAMILIES & COMMUNITIES AFFECTED BY HIV/AIDS,POVERTY,CONFLICT & DISPLACEMENT
Swali: Je anaweza kusoma chuo gani hapa nchini kwa level ya DIPLOMA.
Natanguliza shukran
N.P