Ninawezaje kuitolea mashitaka idara ya uhamiaji kwa kusababisha kupoteza ufadhiri wangu?

jamesemm

Senior Member
Joined
Dec 24, 2024
Posts
116
Reaction score
105
Mwaka 2022 nilipata full scholarship lakini nasikitika nilinyimwa passport uhamiaji bila sababu za msingi na kusababisha scholarship kuisha mda wake. Hali hii unanitesa sana imeniathiri.je nihatua zipi nifanye niwashitaki?
 
Ni sababu zipi hizo unazoita si za msingi?
 
Wakati mataifa mengine passport ukiwa raia ni haki yako.........only tanzania ndio unaambiwa umrete babu na bibi yako tena awe na cheti cha kuzaliwa ............wakati wengine wamezaliwa kibondo huko mwaka 1930 hii tanzania aliyeiroga kafia chooni kwa nyeto
 
alishindwa kujieleza kwamba wewe nimwanae au simwanae
Haina ukweli wowote sababu ilibidi mzazi nimlete uhamiaji kuhojiwa lkn jamaa bado alikaza .maana afisa alidai mzee alisema yy siyo Mtanzania na ikabidi afisa anipigie aseme nimpe million 1 au niombe uraia sababu mzee kashindwa kujieleza
 
hebu mtafute wakili madeleka hayo ndo mambo yake
 
Back
Top Bottom