Ninayempenda Nisiyemjua Kanitolea Nje

Status
Not open for further replies.
mupende anayekupenda aaah, asiyekupenda achana naye eeeh, mimiiii toto ze bingwa........
 
Haujapoteza kitu yawezekana ulikuwa unachat na mwanamke mwenzio!Hivyo simba ukawa na mategemeo yakupata mwingine kama atajitokesa akaonyesha kweli anahitaji urafiki na wewe japo najua hapo katika inbox yako imejaa pole kwa hayo hata mimi yalishanitoke na yanaendelea kutokea!!
 
Pole sana kwa yaliyokusibu, jipe moyo, wapo wengi tu wanaokupenda kwa dhati, ni sualala kujiweka sawa tu kabla ya kuizoea hali na kuanza kivingine. Hongera kwa kuwa muwazi na kuishirikisha jamii. Big up!
 

Wow,i hope ulisha sahau ya kale na i wish you
the best kwenye maandalizi ya ndoa yako
 
Usiogope kwan maisha hayaish kesho so bado una nafas ya kumpenda mwngine,jitahdi kukubalian na ukwel kuw ana m2 hvyo ni nafas yako kuanza maisha mapya!
 
Dah..pole sana mpendwa, bt nampa big-up jamaa maana anaonekana ni mkweli coz kwa kitendo 2 cha kukwambia i ve someone ni cha kiuungwana rather thn angekudanganya! U 've not lost coz the guy woz not prepared 4u bt ther iz sum1 4u sticky around!
 
Pole sana dada..uckate tamaa yawezekana anapima msimamo wako.Kuna watu hawajawahi kuexperience true love kwahiyo watabaki kukupondea na kukukatisha tamaa...cha mhimu mtangulize mungu katika hili na umwombe adhihilishe kama kweli ni wako na kama c wako atakuonyesha panapostahili.
 
Good advice meyn....
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…