Ahsante kwa kumfikishia ujumbe wangu indirectly!!:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:!
sasa mama!imekuwaje umeamua kunianzishia sredi?!
mi nilikwambia kwamba katika umri wangu huu wa miaka 38,sio rahisi kwamba nikakosa kuwa na mtu!....
YANINI MALUMBANO MAMA!......
ningeshangaa sana kama usingejipandika hili!!!!Ahsante kwa kumfikishia ujumbe wangu indirectly!!
Ahsante kwa kumfikishia ujumbe wangu indirectly!!
ningeshangaa sana kama usingejipandika hili!!!!
shikamooo big
Mwenzio yamenikuta.kuachwa kubaya bht ,wewe mkomalie bala wako hana makuu.
Asante...nishakaribia hivyo tena.Nimeshindwa kumbadilisha.kuachwa ni shughuli pevu
mabaya zaidi yul eunayempenda
wewe unakonda yeye ananenepa
haya mama kisicho riziki hakiliki..................karibu!!!
Asante...nishakaribia hivyo tena.Nimeshindwa kumbadilisha.
Kumbe kweli......."JASIRI" HAAACHI ASILI
Hata ningekuwa mimi nisingekukubali leo mwanaume kesho mwanamke lengo lako nini hasa?
Nguli, GS ana jinsia mbili au zina alternate leo hii kesho nyingine siku inayofuata zote mbili?Hata ningekuwa mimi nisingekukubali leo mwanaume kesho mwanamke lengo lako nini hasa?
Nampenda sasa kwa hiyo najikuta napata ugumu kusonga mbele
Marahaba mamushka. umeshachukua fomu?ningeshangaa sana kama usingejipandika hili!!!!
shikamooo big
Wewe huwezi vuliwa pendo. Nikuapie?Mhhhh! pengine kweli?????!!!!!!!!!!!!!!!!!
Pendo linavuliwa kiaina yake........
Nani huyo hana adabu?Mwenzio yamenikuta.kuachwa kubaya bht ,wewe mkomalie bala wako hana makuu.
Kaizer wapi apige makitu yake hapo? Najisikia kukatika Alaji! Alaji! Alaji!kuachwa ni shughuli pevu
mabaya zaidi yul eunayempenda
wewe unakonda yeye ananenepa
haya mama kisicho riziki hakiliki..................karibu!!!
Sasa hicho ndio kinacotu-cost wengi wetu, we are not ready to accept the truth, matokeo yake tunakuwa tayari kudanganywa! dawa ya malaria ya klorokwini used (still is) to be very bitter in taste, lakini ili upone tuliibugia kama ilivyo. So mimi nashauri, songa mbele, tena shukuru Mungu kuwa ulimpenda kwa mbali tu, coz ingekuwa kwa ukaribu na ukakuta ndio wale wenye mkwara mpaka wa kukufungulia mlango wa gari si ndio ungetaja kujimaliza kabisa? Just accept it kuna he/she is occupied, labda sio uliyeandikiwa, na haya mambo ukiyang'ang'aniza ndio kabisa, you'll be treated like s**t!
Nipo.Nilikosa tiketi za WC.Yani huna hata haja ya kuuliza kama amebadilika au bado.We utaona tu mwenyewe................mamaa la CHARITY upo?
ulifanikiwa KUMBADILISHA?:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
Marahaba mamushka. umeshachukua fomu?
wayiiii mpinzani ananunua vichwa ile mbaya.....lakini ngoja tu
Kaizer wapi apige makitu yake hapo? Najisikia kukatika Alaji! Alaji! Alaji!