Naoan siku zinasogea tu.....
siku ya sita hiyo....
''na tumfanye mtu kwa mfano wetu....''
LET US MAKE MAN IN OUR LIKENESS
Njoo kwenye maombi... :israel:😛ray:
Nije wapi na lini ili unifanyie hayo maombi?ila nina wasiwasi sana na Uaskofu wako kwa kuwa Askofu gani yuko bize na Jukwaa la Mapenzi kila kukucha?hivi yatakuwa maombi kweli?
Nitakuelekeza pa kuja mama... na usiwe na wasiwasi kabisa maana uwepo wangu hapa ni kwa utukufu wa mungu, nisaidie wenye kuvunjika mioyo kama wewe...:A S 12:...😛ray:
Aah wap? Unless kama unajaribu kuniambia umeshanipenda tayari.Kweli Da Womanizer hujawahi kukutwa na hali kama hizi za kumpenda mtu asiyekupenda na wala yeye hana Idea.Unaweza kudhani ni Muvi yani ni ngumu/aibu hata kusimulia wakati mwingine.Hivyo usiseme ni full usanii,you never know............
Aah wap? Unless kama unajaribu kuniambia umeshanipenda tayari.
Hahahahaaa.Me am booked already.Nina mchumba angu anaitwa Chrispin.Akija hapa atadhibitisha mwenyewe.Nafasi imejaa na siwezi penda tena.
Njoo kwenye maombi... :israel:😛ray:
Nije wapi na lini ili unifanyie hayo maombi?ila nina wasiwasi sana na Uaskofu wako kwa kuwa Askofu gani yuko bize na Jukwaa la Mapenzi kila kukucha?hivi yatakuwa maombi kweli?
Nitakuelekeza pa kuja mama... na usiwe na wasiwasi kabisa maana uwepo wangu hapa ni kwa utukufu wa mungu, nisaidie wenye kuvunjika mioyo kama wewe...:A S 12:...😛ray:
Nasubiri kwa hamu...
Ndio maana Nakupenda.You are always there to protect me...........Nadhani akiona hii atakuwa amekuelewa na hatarudia tena:
The Following User Says Thank You to Charity For This Useful Post:
Mchumba Chrispin (Today)
Ndio maana Nakupenda.You are always there to protect me...........
:lie::lie::lie::closed_2::closed_2::closed_2:
Hahahahaaa.Me am booked already.Nina mchumba angu anaitwa Chrispin.Akija hapa atadhibitisha mwenyewe.Nafasi imejaa na siwezi penda tena.
:lie::lie::lie::closed_2::closed_2::closed_2:
Charity unamuamini Xpin,pole yako...Kutwa kucha anashinda bar kunywa chibuku,hafai..huko kuna vidosho wa kila sampuli.
Umesamehewa dhambi zako kijana.... nenda kwa amani...
I'm in Love With Chrispin by Yvone Chakachaka :A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
I'm in Love With a DJ Yvone Chakachaka :A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
GS hapa ndipo Mungu alitupatiaga....MAPENZI!!!ni kama vile wewe ulivyompenda usiyemjua.Ninampenda hivyo hivyo licha ya vituko vyake......Charity unamuamini Xpin,pole yako...Kutwa kucha anashinda bar kunywa chibuku,hafai..huko kuna vidosho wa kila sampuli.
and you!!!!!!!! we haya