Ninayempenda Nisiyemjua Kanitolea Nje

Status
Not open for further replies.
...yeeap, lakini watu walivo wanafiki kwenye malavidavi, wacha GS aingie mjengoni....utamsikia huyo jamaa...oooh sorry nisamehe, was in love too but utoto tu sijui bla bla tuuuu.......aaah!

wee kichwa aisee!!
 

Kumbe ni weye! ahhhhh! Nilikuwa najiuliza huyu RM mbona sijawahi kumuona hapa? lakini JF kubwa ati! Hatimaye umeweka bayana jinsia yako. Haya kila la heri kwenye kinyang'anyiro.
 
Maombi yangu yalifanikiwa... alishamdiliti... sasa tumuombee apite na huo mtihani mwingine...


Ha ha ha!bado sijamdiliti.He is still in my heart.Ila Ubunge mwaka huu wangu..

WOS nawe kwanini umeileta tena hii post?
 
:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:!
sasa mama!imekuwaje umeamua kunianzishia sredi?!
mi nilikwambia kwamba katika umri wangu huu wa miaka 38,sio rahisi kwamba nikakosa kuwa na mtu!....

YANINI MALUMBANO MAMA!......

TEAMO TEAMO, nimecheka sana leo .. hii sredi nilikuwa sijaisoma long!!!
 
duh mnaning'ang'ania hivyo toka mwanzo na kunipa ujiko hata usio kuwa wangu! Mkimkimbiza shemeji/wifi yenu mkubwa ntawafuata mmoja mmoja kama carlos the jackal..

Hii sikuwahi kuisoma. Kweli JF Kisima.
Nilikuwa nimechoka, nahisi kupata nguvu mpya.
 
G.S...............pole kwa yaliyokukuta lakini kumbuka kulia sana ni kumkufuru MUNGU,....na pia tambua LIKUKOSALO LINA KHERI KWAKO...yawezaikawa ni Blessing in Disguise dada....................
 
Mpe nafasi ya kukumiss, anaweza kuja gundua anakupenda pia
 
Huyo jamaa alikurupuka alikuwa hajafanya utafiti wa posho na marupurupu ya wabunge. take my word.
 

Imagine hujamjua, try to be busy, do some jogging hapo lazima ajipige kibuti kichwani mwako mwenyewe...POLE SANA
 
you just fell off the path. wake up, clear your hands and off you go. life has more staff ahead. you aren't buried yet, are you?
 
Ha ha ha!bado sijamdiliti.He is still in my heart.Ila Ubunge mwaka huu wangu..

WOS nawe kwanini umeileta tena hii post?

RM,
Sikuwa nimeiona hii hadi mada ilipofufuliwa tena karibu mwaka mmoja later.
Nadhani sasa mmefikia muafaka na mambo ni mazuri sasa bila shaka.
Kila la kheri
 
Reactions: Mbu
khaaa,...hizi JF footsteps zaweza tuponza/kutujenga mbele ya safari.
GS mwenyewe aliiweka hii post 29th June 2010 08:50 AM,

Leo hii July 2/2011 watu wamei- archive huko kwenye vumbi, wanaipangusa pangusa ionekane mpya.
I wonder kuna kombora gani latayarishwa atupiwe kwenye "nyumba yake ya vioo!"
 
pole dada,, kua na ustahamilivu, na jaribu kupuuza hayo mawazo kidogo kidogo nahisi iko siku utapata mwengine utaempenda aka kupenda,, jua kama m,mungu hamtupi mja wake,na mungu hawezi kumpa mja wake riski ambayo pengine itamletea matatizo mbele yake, maybe huyo sio mtu mwema kwako, utapata swali omba duaa,
 

Loh hata mie nimeingia mkenge bana.............afu ukitakajua ilivyokuwa master minded imewfufuliwa exactly tarehe na mwezi ilipopostiwa original yake!! Mwe!
 
Reactions: Mbu
2b honest kuna uwezekano hujui kupenda wewe ila ni mahiri sana wa kutamani kuwa kwa mahusiano. tatizo lako ni dogo sana coz when i was a little boy by 20yrs nishafall inlove na mwanadada ambaye hatujaonana na nilimpenda kuliko kawaida bt baada ya kumeet ghafla alinitoka moyoni nikagundua kwamba wakati hatujaonana nilimjengea picha nzuri kichwani mwangu iliyojumuisha vitu vyote vizuri ninavyovipenda kwa mwanamke vikiwemo umbo,urembo,pozi nzuri, msafi yani anang'aa....... ishu ni pale nilipomuona...mamamamamamaaaaaaa ni mbayaaaaaa afu mchafumchafuuuuu, nikamptezea mazimaa.............so hata wewe usidhani iyo picha uliyomjengea kichwani mwako ndo yupo ivyoo yupo tofauti kabisa,........na hicho ndo kinakufanya ufikirie unampenda sana ila kwa taarifa yako huwezi kumpenda mtu usiyemjua. hope umeelewa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…