ndaosca
Member
- Aug 14, 2024
- 5
- 16
Hodi wanajamii! ๐
Naitwa Oscar Ndayi ๐ง๐ฎ, Mrundi kwa asili lakini kwa sasa nipo nchini Indonesia ๐ฎ๐ฉ kusoma (Doctoral Student) katika Programu ya Tathmini ya Miradi (Program Evaluation), Chuo Kikuu cha Yogyakarta State University. ๐
Nina furaha isiyo kifani kuona fursa ya kuwa na wa East Africans ๐ na wanamemba wengine nje ya East Africa! ๐
Ninaweza kutoa mchango wangu katika maeneo yafuatayo:
โก Uandishi wa Andiko Mradi (Community | Humanitarian Grant Project Proposal Writing) ๐
โก Ufuatiliaji na Tathmini ya Miradi (Project Monitoring & Evaluation) ๐
โก Ushawishi wa Jamii (Lobbyist Skills) ๐ฃ๏ธ
โก Uchambuzi wa Takwimu kwa kutumia SPSS, Stata, R, n.k. ๐
Asanteni sana kwa kunipokea! ๐