Ninayo hoja nisikilizwe

Ninayo hoja nisikilizwe

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
Ikiwa kiongozi atashindwa kufanya maamuzi ambapo kimsingi sheria imempa mamlaka hayo ujue huenda kuna tatizo.

Kiongozi mzuri ni yule anayekemea na kuomba ushauri wa kiutendaji,inapotokea nyumba yako ina machafuko watu wanapigana,kusemana,kupigana vikumbuko ni dhahiri kuwa kiongozi unepwaya.

Huenda Matukio mengi yanayotokea nyumbani kwako hausiki kwa lolote ila tatizo ukimya wako,ucheshi na fikra zako zinakuponza Magenge yaliyotengenezwa kipindi fulani ndiyo sababu kubwa ya uadui wa familia yenu.

Kuna mzee anajifanya mcheshi naomba kuwa nae makini na mkizinguana 2025 headline zitakuwa za kusikitisha,

Wanafanya matukio kukuharibia na kwa bahati mbaya majirani hawana wa kumtupia lawama zaidi ya wewe mlengwa,umebeba msalaba wa familia.

Chagua moja tukuzike hapa au tukusafirishe.
 
Back
Top Bottom