m_kishuri JF-Expert Member Joined Jan 27, 2010 Posts 1,484 Reaction score 372 May 24, 2014 #21 King Kong III said: Huyu shombe hachuji habari ye anazileta tu hata kama za uongo. Click to expand... Tena the latest fast and furious 6 ilitoka mwaka jana, na iliingiza mkwanja wa kutosha kabisa.
King Kong III said: Huyu shombe hachuji habari ye anazileta tu hata kama za uongo. Click to expand... Tena the latest fast and furious 6 ilitoka mwaka jana, na iliingiza mkwanja wa kutosha kabisa.
sokwe JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 2,022 Reaction score 1,059 May 24, 2014 #22 Sidhani wote hawana kitu nahisi ni wabishi tu kulipia gharama za watoto, wanaona Kama mama za watoto wamewafanya mitaji.
Sidhani wote hawana kitu nahisi ni wabishi tu kulipia gharama za watoto, wanaona Kama mama za watoto wamewafanya mitaji.
jMali JF-Expert Member Joined Nov 9, 2010 Posts 8,404 Reaction score 4,973 May 24, 2014 #23 kabanga said: kwetu hapa je....? Click to expand... kwetu ndio balaa zaidi dume zima linapewa gari na dume lenzie...
kabanga said: kwetu hapa je....? Click to expand... kwetu ndio balaa zaidi dume zima linapewa gari na dume lenzie...