Nineth Circle Satanic Cult

Nilishawahi kumwambia Ntuzu kuwa hata jina la "nabii" wao Ellen Gould White lina add up 666,je hiyo itamfanya kuwa Mpinga Kristo?

Swali hili linahitaji tafakari ambayo nachelea kusema hatakubali kuwa nayo....

nakumbuka hiyo mkuu, akaja Lawkeys akapinga hiyo kitu...
 
Last edited by a moderator:

!
!
hawa akina nyerere siku hizi wako wengi sana aisee duh
 

nilijua tu ni wewe.
 
Mh! hivi haya mambo mnayatolea wapi nyie wanadamu.
 

Another bunch of bullshit! You guys should get life!
 
Queen Elizabeth naye anabaka?
 
Reactions: SMU
Kumbe JF kuna vichaa...??
 
Andrew Nyerere thinking capacity is far beyond yours in great stride. He is a deeper thinker and with a wider vision than you could ever be or imagine.

A.Nyerere yuko smart,tatizo akili ndogo zinataka kum-challenge,na maara nyingi anaandika kwa ufupi,badala ya watu kusoma wao waanakurupuka
 
Last edited by a moderator:
Eiyer na Mkuu wa chuo salaam.

Nipo. Majukumu yananitengea na upend wa Kristo. Lakini kwasababu neema ya Yesu yatosha, basi nitarudi si muda mlefu.

Barikiwa
 
Last edited by a moderator:
Where are those eye witnesses? I told you before, opinions are not evidences.

Give me the testimonies of the eye witnesses?
What are their names?

The Man is A rapist and a killer.
Swallow that Maxishmael
 
A.Nyerere yuko smart,tatizo akili ndogo zinataka kum-challenge,na maara nyingi anaandika kwa ufupi,badala ya watu kusoma wao waanakurupuka
Hivi mnapimaje u-smart wa mtu?

 
Nilishawahi kumwambia Ntuzu kuwa hata jina la "nabii" wao Ellen Gould White lina add up 666,je hiyo itamfanya kuwa Mpinga Kristo?

Swali hili linahitaji tafakari ambayo nachelea kusema hatakubali kuwa nayo....

Mbona hii hoja tuliisha ijibu kitambo sana Eiyer na Mkuu wa chuo. Kinachotufanya sisi Wa Adventista wa Sabato tufikiehitimisho kwamba Upapa / Papa ndiye Mpinga Kristo anayezungumzwa katika Daniel7 na Ufunuo 13 si jumla ya hesabu ya jina peke yake, ni pamoja na sababunyingine nyingi kama zilivyoainishwa katika vitabu tajwa hapo juu.
Mfano, Biblia inasema:

  1. Nayeatanena maneno kinyume chake Aliye juu;
  2. nayeatawadhoofisha watakatifu wake Aliye juu;
  3. nayeataazimu kubadili majira na sheria;
  4. naowatatiwa mikononi mwake kwa wakati, na nyakati mbili, na nusu wakati.
(Daniel 7:25)
Huo ni uthibitisho kwa ufupi kati yamwingine mwingi unaoshadadia hoja yetu kwani Upapa unathibisha mambo yote hayokwa hakika.
Sasa, ukisema EG White ndiye,ututhibitishie pia kwamba EG White anatimizaje mambo manne yaliyoainishwa hapojuu:
Neema ya Yesu itufunike.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…