Ningekua mimi ndo mbowe ningeanzisha chama kingine

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,597
Reaction score
29,527
Kwa kinachoendelea kule kwa aliowakabidhi kijiti na malumbano yaliopo mpaka sasa ni kama kuna nguvu 2 za mvutano.

Sasa ili kuokoa jahazi moja ningeanzisha chama alafu ile timu inavyokinzana na mwenyekiti wa sasa naichukua fasta kutumia hiyo fursa pamoja na wale covid 19 nawaita wote kupata nguvu mpya ya chama.

Hii itaifanya CHADEMA sasa kutokana na mvutano uliopo uishe au kufa kabisa.

Au mnasemaje wadau!
 
Lissu anazingua sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…