Ningekuwa Mbwana Samatta ningekataa kuichezea Taifa Stars

Kikosi kinapagwa kama cha kubashili.
Ndio maana tunavuka boda kushabikia mbele.
 
Mleta mada kumbe tumewaza
Kitu kimoja leo
 
Taifa stars hata kama itafundishwa na gadiola,,hamna kitu,,,,, Sijui tumerogwa na nani (in MAGUFURI voice
 
George Weah alikuwa mchezaji bora wa Ulaya na Dunia hakuacha kuichezea Liberia eti kwa kuwa wenzake wana viwango vidogo,sembuse Samata.
 
Hata ningekuwa mesi au cr7 ningekiputa tu Taifa stars bila kinyongo
 
Hawezi acha kuchezea taifa star maana inampa credit kimataifa, tatizo ni ule Mzigo wa uchafu pale TFF, kocha hafai, viongozi wote hovyo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…