Ningekuwa Mimi nisingejipendekeza kwenda Msibani London na kupandishwa DalaDala bali ningepambania hasa Ujenzi wa hili Bomba

Ningekuwa Mimi nisingejipendekeza kwenda Msibani London na kupandishwa DalaDala bali ningepambania hasa Ujenzi wa hili Bomba

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Bunge la Ulaya limemwita Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Kimataifa ya Mafuta ya TotalEnergies, Patrick Pouyanné kujibu madai ya Bunge la Ulaya kwamba Mradi wa Bomba la Mafuta kutoka Uganda hadi Tanga Tanzania haukuzingatia tahadhari za kimazingira na haki za binadamu.

TotalEnergies ndiyo kampuni inayotekeleza mradi huo kwa ubia na Serikali za Uganda na Tanzania ikimiliki asilimia 62 ya mradio huo.

Chanzo: azamtvtz

Mkiambiwa kuwa Wazungu hawatupendi na hawajawahi kutupenda Waafrika hata Siku moja hasa katika Suala la Maendeleo yetu hamsikii na badala yake mnajipendekeza kwenda Kuhani Misiba Kwao na Kudharauliwa zaidi hadi Kupandishwa DalaDala na kuwahi Siti ya Dirishani huwa hamtuelewi na mnakuwa Vichwa Ngumu ( Wabishi ) tu.
 
Back
Top Bottom