Ningekuwa Mimi tuzo ya uchekeshaji nisingeipokea!

Ningekuwa Mimi tuzo ya uchekeshaji nisingeipokea!

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
21,625
Reaction score
33,688
Yaani Mimi Si comedian, nimealikwa kuburudishwa na wachekeshaji Ili nicheke kuondoa tensions mbalimbali za wanaonipinga kazini,

Sasa Badala ya Mimi kuwapa zawadi na tuzo wachekeshaji, wachekeshaji Wanigeuzie kibao na kunikabidhi tuzo ya uchekeshaji ilhali Mimi Si mchekeshaji, HAKIKA ningeikataa.

Hizi sifa zingine ifike Mahali ziwe na mipaka.

Ni hayo tu!
 
Mkuu, punguza makasiriko, yaani hata kwa dakika 60 tu hutaki mkuu wetu ainjoyi maisha, unataka iwe kazi kazi masaa ishinamane?
 
Mkuu,

Kwenye jitihada zako za kila siku omba na bahati pia, yaani uwe star kama nyota ya Al_fajir uwake uiangaze Dunia nzima.

Hata ukijikuna kidevu utapewa pole,
Utaulizwa nini kinakuumiza.
Tuzo zingine ni mtego,

Yaani Kwa Mfano,niende kutembelea wagonjwa pale Dom hospital ya akina naniihii,

Ghafula waniletee tuzo,

Naanzaje kuipokea!
 
Sifa zikizidi utataka kila kitu kiwe chako.
Hata tuzo za uchekeshaji si ajabu ukaomba upewe, uwe kiongozi, mcheshi, mstaarabu, mpole, katlli, mfata sheria, mvunja haki, mpenda watoto, mpenda wanawake nk.

Sifa zote ziwe zako tu
 
Back
Top Bottom