Mkuu, punguza makasiriko, yaani hata kwa dakika 60 tu hutaki mkuu wetu ainjoyi maisha, unataka iwe kazi kazi masaa ishinamane?Yaani Mimi Si comedian, nimealikwa kuburudishwa na wachekeshaji Ili nicheke kuondoa tensions mbalimbali za wanaonipinga kazini,
Sasa Badala ya Mimi kuwapa zawadi na tuzo wachekeshaji, wachekeshaji Wanigeuzie kibao na kunikabidhi tuzo ya uchekeshaji ilhali Mimi Si mchekeshaji, HAKIKA ningeikataa.
Hizi sifa zingine ifike Mahali ziwe na mipaka.
Ni hayo tu!
Mkuu yupo huyo?Mkuu, punguza makasiriko, yaani hata kwa dakika 60 tu hutaki mkuu wetu ainjoyi maisha, unataka iwe kazi kazi masaa ishinamane?
Tuzo zingine ni mtego,Mkuu,
Kwenye jitihada zako za kila siku omba na bahati pia, yaani uwe star kama nyota ya Al_fajir uwake uiangaze Dunia nzima.
Hata ukijikuna kidevu utapewa pole,
Utaulizwa nini kinakuumiza.
Mpokea tuzo!Nani huyoo?
Umenena vyema.Tuzo zingine ni mtego,
Yaani niende kutembelea wagonjwa pale Dom hospital ya akina naniihii,
Ghafula waniletee tuzo,
Naanzaje kuipokea!
"ishinamane"Mkuu, punguza makasiriko, yaani hata kwa dakika 60 tu hutaki mkuu wetu ainjoyi maisha, unataka iwe kazi kazi masaa ishinamane?
Wewe Unadhani wote ni watoto wa 2000?"ishinamane"
Lugha Fulani za wazee wa vijijini 😂