Ningekuwa mtoto wa kigogo.............

Ningekuwa mtoto wa kigogo.............

zema21

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
619
Reaction score
251
Natamani ningekuwa mtoto wa kigogo na degree yangu niliyonayo leo hii ningekuwa mfanyakazi pale hazina, BOT or TRA lakini leo hii naambiwa nikajiajiri mtaji sijui napata wapi............
nashangaa saana mazingira ya kujiajiri hayapo au ikishindikana itabidi kwenda kufundisha tu shule za kata manake ndo kazi zetu watoto wa wakulima............ sijawahi kuona au kusikia hata mtoto mmoja wa kigogo ni mwalimu ila wao ni wahasibu, wanasheria, ma-manager wa ofisi kubwa kubwa za uma ila sisi watoto wa wakulima tunaishia kwenye ualimu hata kama umesomea kitu gani....
 
nawe ungekuwa mtoto wa kigogo usinge wajua wakina masikini cc watoto wa jembe la mkono
 
Natamani ningekuwa mtoto wa kigogo na degree yangu niliyonayo leo hii ningekuwa mfanyakazi pale hazina, BOT or TRA lakini leo hii naambiwa nikajiajiri mtaji sijui napata wapi............
nashangaa saana mazingira ya kujiajiri hayapo au ikishindikana itabidi kwenda kufundisha tu shule za kata manake ndo kazi zetu watoto wa wakulima............ sijawahi kuona au kusikia hata mtoto mmoja wa kigogo ni mwalimu ila wao ni wahasibu, wanasheria, ma-manager wa ofisi kubwa kubwa za uma ila sisi watoto wa wakulima tunaishia kwenye ualimu hata kama umesomea kitu gani....

acha kulalamika ndugu yangu, maisha hayana formula, fight usiku na mchana ili watoto wako wahame kundi ulilopo na wao waitwe mtoto wa kigogo(mwenyewe)...Muombe Mungu atakupigania, ukilalamika sana watu watakucheka, wengine wataumia, wengine kawaida....Fight sana, But pray hard as if u gonna die 2moro, but work hard as if u gona live 4rever.
 
Back
Top Bottom