Natamani ningekuwa mtoto wa kigogo na degree yangu niliyonayo leo hii ningekuwa mfanyakazi pale hazina, BOT or TRA lakini leo hii naambiwa nikajiajiri mtaji sijui napata wapi............
nashangaa saana mazingira ya kujiajiri hayapo au ikishindikana itabidi kwenda kufundisha tu shule za kata manake ndo kazi zetu watoto wa wakulima............ sijawahi kuona au kusikia hata mtoto mmoja wa kigogo ni mwalimu ila wao ni wahasibu, wanasheria, ma-manager wa ofisi kubwa kubwa za uma ila sisi watoto wa wakulima tunaishia kwenye ualimu hata kama umesomea kitu gani....