Ajaribu tena 2025 ha ha hawe kama umeshindwa ni kivyako utajijua
Kama TAKUKURU wangekuwa na Nia ya kupambana na Rushwa wangeweza kukamata karibu wote waliotia Nia. Kwa hiyo itoshe kusema kuwa wahongaji walianzia TAKUKURU huko huko Kisha Waka kumalizia na WajumbePeleka ushahidi wako Takukuru ili hao uliowaona wakitoa na kupokea Rushwa wachukuliwe hatua. Ingawa naona kama umechelewa kdg maana ingependeza zaidi pale tu ulipoona hivyo vitendo vya rushwa ulipaswa utoe taarifa, badala ya kuja kusema leo wafute kura kwa vile wewe uliona watu wakishindana kutoa rushwa.