sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,639
- 5,767
Jua likiwaka kina cha maji kimepungua, mvua imeanza kunyesha hata dk kumi hazizidi wamekata umeme moja kwa moja, yani ikipita siku kuanzia asubuhi saa moja hadi saa nne usiku hawajakata umeme unashukuru Mungu. Ni lini kutakua na umeme wa uhakika Tanzania? Kwanininiiiiii???