Si ajabu siku wakiwasha mitambo ya bwawa na Nyerere, watakata umeme kisha waseme bwawa limejaa topeJua likiwaka kina cha maji kimepungua, mvua imeanza kunyesha hata dk kumi hazizidi wamekata umeme moja kwa moja, yani ikipita siku kuanzia asubuhi saa moja hadi saa nne usiku hawajakata umeme unashukuru Mungu. Ni lini kutakua na umeme wa uhakika Tanzania? Kwanininiiiiii???
Ukiachana na kuanguka kwa nguzo na miti, hembi nieleze technically mvua ya kawaida tu iso na upepo umeme unaathirika vipi?Ni kweli mvua zimeanza ila muda mwengine huwa mvua pia inaathiri huo mfumo wa umeme kiongozi, unalijua hilo...?